Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Namungo

3 May 2023

Kocha Mkuu, Roberto Oliviera 'Robertinho' amefanya mabadiliko ya wachezaji saba ukilinganisha na kikosi kilichocheza mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca mwishoni mwa wiki.

Kikosi kamili kilivyopangwa

Ally Salim (1), Israel Patrick (5), Gadiel Michael (2), Joash Onyango (16), Kennedy Juma (26), Erasto Nyoni (18), Pape Sakho (10), Nassor Kapama (35), Jean Baleke (4), Saido Ntibanzonkiza (39), Peter Banda (11).

Advertisement

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Ahmed Teru (31), Jimmyson Mwanuke (21), Ismael Sawadogo (3), Jonas Mkude (20), Habibu Kyombo (32), John Bocco (22), Mohamed Mussa (14), Augustine Okrah (27).

Back to homepage
Share this story