Kocha msaidizi Seleman Matola amefanya mabadiliko ya wachezaji watatu ukilinganisha na kile kilichocheza mchezo wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United.
Matola amewaanzisha Yakoub Suleiman, Steven Mukwala na Joshua Mutale kuchukua nafasi za Moussa Camara, Jonathan Sowah na Kibu Denis.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Yakoub Suleiman (22), Shomari Kapombe (12), Anthony Mligo (5), Chamou Karaboue (2), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Elie Mpanzu (34), Allasane Kante (8), Steven Mukwala (11), Morice Abraham (18), Joshua Mutale (7).
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), David Kameta (15), Naby Camara (30), Wilson Nangu (31), Daud Semfuko (37), Kibu Denis (38), Seleman Mwalimu (40), Jonathan Sowah (3), Neo Maema (35).