Kocha mkuu, Steve Barker amefanya mabadiliko ya wachezaji wanne ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi iliyopita dhidi ya Fountain Gate.
Barker amewaanzisha Shomari Kapombe, Anthony Mligo, Yusuph Kagoma na Inno Loemba wakichukua nafasi za David Kameta 'Duchu', Nickson Kibabage, Allasane Kante na Neo Maema.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Djibrilla Kassali (39), Shomari Kapombe (12), Anthony Mligo (5), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Libasse Gueye (7), Clatous Chama (17), Seleman Mwalimu (40), Inno loemba (10), Anicet Oura (20).
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), David Duchu (15), Hussein Mbegu (60), Daud Semfuko (37), Ladack Chasambi (36), Neo Maema (35), Bashiri Kibaila (63), Baraka Mwanagosi (11), Morice Abraham (18), Elie Mpanzu (34).