Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Mtibwa Sugar

18 Jan 2026

Nyota watatu waliokuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa, Shomari Kapombe, Yusuph Kagoma na Seleman Mwalimu wameanza kwenye kikosi cha kwanza.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Hussein Abel (28), Shomari Kapombe (12), Anthony Mligo (5), Wilson Nangu (31), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Mohamed Bajaber (17), Naby Camara (30), Seleman Mwalimu (40), Neo Maema (35), Elie Mpanzu (34).

Advertisement

Wachezaji wa Akiba:

Alexander Erasto (42), Duchu (15), Vedastus Masinde (4), Daud Semfuko (37), Ladaki Chasambi (36), Kibu Denis (38), Steve Mukwala (11), Morice Abraham (18), Joshua Mutale (7).

Back to homepage
Share this story