Kocha Mkuu Steve Barker amefanya mabadiliko ya wachezaji wanne ukilinganisha na kile kilichocheza mechi ya mwisho dhidi ya ES Tunis.
Barker amewaanzisha David Kameta, Libasse Gueye, Anicet Oura na Clatous Chama kuchukua nafasi za Shomari Kapombe, Naby Camara, Jonathan Sowah na Elie Mpanzu.
Mamadou Tanja (39), David Kameta (15), Rushine De Reuck (23), Wilson Nangu (31), Nickson Kibabage (32), Yusuph Kagoma (21), Clatous Chama (17), Morice Abraham (18), Libasse Gueye (29), Kibu Denis (38), Anicet Oura (20).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), Ladaki Chisambi (36), Ismail Toure (25), Anthony Mligo (5), Naby Camara (30), Neo Maema (35), Daud Semfuko (37), Seleman Mwalimu (40), Baraka Mwangosi (11), Vedastus Masinde (4).