Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Mamelodi leo

9 Nov 2022

Kocha Charles Lukula amefanya mabadiliko matatu ya kikosi kwa kuwaanzisha Vivian Corazone, S'arrive Lobo na Koku Ally ambao hawakuanza kwenye mchezo uliopita dhidi ya Green Buffaloes.

Nyota Pambani Kuzoya, Olaiya Barakat na Amina Hemed ambao mchezo uliopita walianza leo wameanzia benchi.

Kikosi kamili kilivyopangwa

Advertisement

Gelwa Yona (21), Fatuma Issa (5), Diana Mnali (15), Daniela Kanyanya (22), Violet Nicholas (26), Joelle Bukuru (18), Vivian Corazone (4), S’arrive Lobo (2), Koku Ally (19), Opa Clement (7)Asha Djafari (24).

Wachezaji wa Akiba

Zubeda Mohamed (20), Janeth Simba (1), Dotto Evarist (11), Wema Maile (3), Jackline Albert (16), Topister Situma (13), Pambani Kuzoya (17), Amina Hemedi (14), Olaiya Barakat (9).

Back to homepage
Share this story