Kocha Mkuu Fadlu Davids amefanya mabadiliko ya wachezaji wanne ukilinganisha na kile kilichoanza mechi iliyopita dhidi ya Pamba Jiji.
Fadlu amewaanzisha Valentine Nouma, Che Fondoh Malone, Kibu Denis na Steven Mukwala wakichukua nafasi za Mohamed Hussein, Chamou Karaboue, Elie Mpanzu na Leonel Ateba.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (26), Shomari Kapombe (12), Valentin Nouma (29), Che Malone Fondoh (20), Abdurazak Hamza (14), Augustine Okejepha (25), Kibu Denis (38), Fabrice Ngoma (6), Steve Mukwala (11), Jean Charles Ahoua (10), Joshua Mutale (7).
Wachezaji wa Akiba:
Ally Salim (1), David Kameta (3), Mohamed Hussein (15), Yusuph Kagoma (17), Ladack Chasambi (36), Awesu Awesu (23), Elie Mpanzu (34), Leonel Ateba (13), Valentino Mashaka (27), Alexander Erasto (42),