Kocha Mkuu Steve Barker amefanya mabadiliko ya wachezaji watatu ukilinganisha na kile kilichocheza mechi ya mwisho dhidi ya Petro De Luanda.
Barker amewaanzisha Hussein Abel, Nickson Kibabage, Anicet Oura na Seleman Mwalimu wakichukua nafasi za Mamadou Kassali, Anthony Mligo, Kibu Denis na Elie Mpanzu.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Hussein Abel (28), Shomari Kapombe (12), Nickson Kibabage (32), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Libasse Gueye (7), Clatous Chama (17), Seleman Mwalimu (40), Morice Abraham (18), Anicet Oura (20).
Wachezaji wa Akiba:
Alexander Erasto (42), David Duchu (15), Vedastus Masinde (4), Naby Camara (30), Daud Semfuko (37), Bashiri Kibaila (63), Neo Maema (35), Baraka Mwangosi (11), Inno Loemba (10), Elie Mpanzu (34).