Kiungo mshambuliaji Luis Miqussone leo ameanza baada ya kukosekana kwa kipindi kirefu kutokana nakuwa majeruhi.
Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa:
Ayoub Lakred (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Che Malone (20), Fabrice Ngoma (6), Ladaki Chasambi (36), Mzamiru Yassin (19), Saido Ntibazonkiza (10), Luis Miquissone (11), Edwin Balua (37)
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Ally Salim (1), Hussein Abel (30), David Kameta (3), Hussein Kazi (16), Abdallah Hamis (13), Babacar Sarr (33), Essomba Onana (7), Saleh Karabaka (23), Clatous Chama (17).