Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya JKT Tanzania

24 Dec 2024

Kocha Fadlu Davids amefanya mabadiliko ya wachezaji wanne ukilinganisha na kile kilichoanza dhidi ya Kagera Sugar.

Fadlu amewaanzisha Valentine Nouma, Che Fondoh Malone, Ladaki Chasambi na Leonel Ateba wakichukua nafasi za Mohamed Hussein, Chamou Karaboue, Jean Charles Ahoua Steven Mukwala.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Moussa Camara (26), Shomari Kapombe (12),Valentin Nouma (29), Abdurazack Hamza (14), Che Malone Fondoh (20), Fabrice Ngoma (6),Awesu Awesu (23), Debora Fernandes (17), Leonal Ateba (13), Elie Mpanzu (34), Ladaki Chasambi (36).

Wachezaji wa Akiba:

Aishi Manula (1), Mohamed Hussein (15), Karaboue Chamou (2) Augustine Okejepha (25), Yusuph Kagoma (21), Joshua Mutale (7), Jean Charles Ahoua (10), Steven Mukwala (11), Valentino Mashaka (27), Alexander Erasto (42).

Back to homepage
Share this story