Kama ambavyo ameahidi wakati akizungumzia mchezo huu kocha mkuu, Steve Barker amefanya mabadiliko makubwa ya kikosi ukilinganisha na kile kilichocheza mechi iliyopita.
Elie Mpanzu ndiye mchezaji pekee ambaye alianza katika mchezo uliopita wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Stade Malien.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Hussein Abel (28), Shomari Kapombe (12), Anthony Mligo (5), Hussein Mbegu (60) Vedastus Masinde (4), Daud Semfuko (37), Libasse Gueye (7), Neo Maema (35), Baraka Mwangosi (11), Inno Loemba (10), Elie Mpanzu (34).
Wachezaji wa Akiba:
Mamadou Kassali (39), Alexander Erasto (42), David Kameta (15), Ismail Toure (25), Naby Camara (30), Bashiri Kibaila (63), Clatous Chama (17), Seleman Mwalimu (40), Ladack Chasambi (36), Anicet Oura (20).