Kocha Juma Mgunda amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kile kilichocheza dhidi ya Dodoma Jiji wiki iliyopita.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Hussein Abel (30), Shomari Kapombe, Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Che Malone (20), Fabrice Ngoma (6), Edwin Balua (37), Mzamiru Yassin (19), Pa Omar Jobe (2), Saidi Ladaki Chasambi (36).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Ayoub Lakred (40), David Kameta (3), Hussein Kazi (16), Abdallah Hamisi (13), Babacar Sarr (33), Saleh Karabaka (23), Willy Onana (7), Sadio Kanoute (8).