Kaimu Kocha Mkuu, Hemed Suleiman' Morocco' amefanya mabadiliko ya wachezaji watatu ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi ya Ligi iliyopita dhidi ya Fountain Gate FC.
Kocha Morocco amewaanzisha Anthony Mligo, Allasane Kante na Morice Abraham wakichukua nafasi za Naby Camara, Mzamiru Yassin na Kibu Denis.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (26), Shomari Kapombe (12), Anthony Mligo (5), Karaboue Chamou (2), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Morice Abraham (18), Allasane Kante (8), Jonathan Sowah (3), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).
Wachezaji wa Akiba:
Yakoub Suleiman (22), David Kameta (15), Wilson Nangu (31), Naby Camara (30), Mzamiru Yassin (19), Kibu Denis (38), Steven Mukwala (11), Neo Maema(35), Joshua Mutale (7).