Kocha Mkuu Steve Barker amebadili kikosi kizima ukilinganisha na kile kilichoanza mchezo uliopita dhidi ya Mwembe Makumbi.
Pamoja na yote kocha Barker amepanga kutumia michuano ya Kombe la Mapinduzi kuwafahamu wachezaji ndio maana anampa nafasi kila mmoja.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Alexander Erasto (42), Hussein Mbegu (60), Amiri Yondani (13), Vedastus Masinde (4), Charles Sila (39), Alasane Kante (8), Awesu Awesu (33), Mzamiru Yassin (19), Elie Mpanzu (34), Bashiri Kibaila (63), Joshua Mutale (7).
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), David Kameta (15), Anthony Mligo (5), Karaboue Chamou (2), Daud Semfuko (37), Mohamed Bajaber (17), Naby Camara (30), Benjamin William (49), Baraka Mwangosi (29), Neo Maema (35), Bright Anukani (20), Ladaki Chasambi (36).