Kocha Mkuu Steve Barker amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi iliyopita ya hatua ya 16 bora ya CRDB Federation Cup dhidi ya Dodoma Jiji.
Barker amemuanzisha David Kameta 'Duchu' na Allasane Kante wakichukua nafasi za Shomari Kapombe na Yusuph Kagoma.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Djibrilla Kassali (39), David Duchu (15), Nickson Kibabage (32), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Allasane Kante (8), Libasse Gueye (7), Neo Maema (35), Seleman Mwalimu (40), Clatous Chama (17), Anicet Oura (20).
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), Anthony Mligo (5), Vedastus Masinde (4), Hussein Mbegu (60), Daud Semfuko (37), Elie Mpanzu (34), Inno loemba (10), Baraka Mwanagosi (11), Morice Abraham (18), Ladack Chasambi (36).