Kocha Mkuu, Steve Barker hajafanya mabadiliko ya mchezaji yeyote ukilinganisha na kikosi kilichoanza mchezo uliopita dhidi ya Tanzania Prisons na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Djibrilla Kassali (39), Shomari Kapombe (12), Nickson Kibabage (32), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Libasse Gueye (7), Inno Loemba (10), Seleman Mwalimu (40), Clatous Chama (17), Anicet Oura (20).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), David Duchu (15), Anthony Mligo (5), Vedastus Masinde (4), Daud Semfuko (37), Morice Abraham (18), Allasane Kante (8), Neo Maema (35), Baraka Mwangosi (11), Elie Mpanzu (34).