Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Dodoma Jiji

12 Apr 2026

Kocha Mkuu Steve Barker amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi iliyopita dhidi ya TRA United.

Barker amemuanzisha kiungo mshambuliaji, Clatous Chama akichukua nafasi ya kiungo mkabaji, Allasane Kante.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Djibrilla Kassali (39), Shomari Kapombe (12), Nickson Kibabage (32), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Libasse Gueye (7), Neo Maema (35), Seleman Mwalimu (40), Clatous Chama (17), Anicet Oura (20).

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (28), David Duchu (15), Anthony Mligo (5), Hussein Mbegu (60), Daud Semfuko (37), Inno loemba (10), Ladack Chasambi (36), Baraka Mwanagosi (11), Morice Abraham (18), Elie Mpanzu (34).

Back to homepage
Share this story