Kocha Charles Lukula amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja kulinganisha na kikosi kilichopangwa dhidi ya ASFAR FC ambapo mlinzi wa kushoto Silvia Thomas ataanza kuchukua nafasi ya Diana Mnali.
Kikosi kamili kilichopangwa
(21) Gelwa Yonah (5), Fatuma Issa (12), Silvia Thomas (23), Esther Erastus (22), Daniella Kanyanya (18), Joelle Bukuru (17) Pambani kuzoya (4) Vivian Corazone (7) Opa Clement (10) Aisha Juma (24) Asha Djafar.
Advertisement
Wachezaji wa Akiba
(20) Zubeda Mgunda (2) Sarrive Badiambila (6) Philomena Abakah (9), Olaiya Barakat (11) Doto Evarist (19) Koku Ally (26) Violeth Nicholous (14) Amina Hemed (13) Topister situma (16) Jackline Albert.