Phiri ambaye ni kinara kwa kufumania nyavu atapata msaada wa karibu kutoka kwa Pape Sakho, Clatous Chama na Augustine Okrah.
Mzamiru Yassin na Sadio Kanoute wataendelea kuongoza idara ya kiungo ya ulinzi kama ilivyokuwa katika mchezo wa mzunguko wa kwanza uliopigwa nchini Angola wikiendi iliyopita.
Kikosi kamili kilichopangwa
Advertisement
Aishi Manula (28), Israel Patrick (5), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Sadio Kanoute (13), Pape Sakho (10), Mzamiru Yassin (19), Moses Phiri (25), Clatous Chama (17), Augustine Okrah (27).
Wachezaji wa akiba
Beno Kakolanya (30), Erasto Nyoni (18), Gadiel Michael (2), Kennedy Juma (26), Mohamed Ouattara (33), Jonas Mkude (20), John Bocco (22), Habibu Kyombo (32), Kibu Denis (38).