Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya CSKA Moscow Leo

15 Jan 2023

Kama ilivyokuwa katika mchezo uliopita dhidi ya Al Dhafrah, Bocco atapata msaada wa karibu kutoka kwa viungo washambuliaji Clatous Chama, Saido Ntibazonkiza na Pape Sakho.

Katika eneo la kiungo wa ulinzi kocha Mkuu Roberto Oliviera 'Robertinho' amempanga Erasto Nyoni pamoja na Sadio Kanoute.

Kikosi kamili kilivyopangwa

Advertisement

Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Mohamed Ouattara (33), Erasto Nyoni (18), Pape Sakho (10), Sadio Kanoute (13), John Bocco (22), Saido Ntibazonkiza (39), Clatous Chama (17).

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Ally Salim (1), Jimmyson Mwanuke (21), Gadiel Michael (2), Kennedy Juma (26), Nassor Kapama (35), Jonas Mkude (20), Mzamiru Yassin (19), Habibu Kyombo (32), Kibu Denis (38).

Back to homepage
Share this story