Kocha Mkuu Steve Barker amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi iliyopita dhidi ya TRA United tuliyoibuka na ushindi wa mabao 3-0.
Barker amemuanzisha mlinda mlango, Hussein Abel akichukua nafasi ya Djibrilla Kassali na kiungo mkabaji, Allasane Kante amechukua nafasi ya Yusuph Kagoma.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Hussein Abel (28), Shomari Kapombe (12), Nickson Kibabage (32), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23),Allasana Kante (8), Libasse Gueye (7), Neo Maema (35), Seleman Mwalimu (40), Clatous Chama (17), Anicet Oura (20).
Wachezaji wa Akiba:
Alexander Erasto (42), David Duchu (15), Anthony Mligo (5), Hussein Mbegu (60), Yusuph Kagoma (21), Daud Semfuko (37), Naby Camara (30), Bashiri Kibaila (63), Morice Abraham (18), Ladaki Chasambi (36).