Kocha Fadlu Davids amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja tu ukilinganisha na kikosi kilichocheza mchezo uliopita dhidi ya Dodoma Jiji.
Kocha Fadlu amemuanzisha kiungo mkabaji Augustine Okajepha kuchukua nafasi ya Fabrice Ngoma aliyeanza mchezo uliopita.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Advertisement
Moussa Camara (26), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Abdulrazack Hamza (14), Che Malone (20), Augustine Okajepha (25), Joshua Mutale (7), Debora Fernandes (17), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Kibu Denis (38).
Wachezaji wa Akiba:
Ally Salim (1), Kelvin Kijili (33), Valentino Nouma (29), Karaboue Chamou (2), Fabrice Ngoma (6), Awesu Awesu (23), Steven Mukwala (11), Edwin Balua (37), Shadrack Daniel (52), Benjamin William (50).