Pamoja nakuwa Bigman ni timu ya Championship lakini hatutaidharau na tutaingia uwanjani kwa tahadhari zote lengo likiwa kuhakikisha tunavuka na kutinga robo fainali.
Kikosi kamili kilichopangwa:
Hussein Abel (30), Kelvin Kijili (33), Valentin Nouma (29), David Kameta (3), Hussein Kazi (4), Fabrice Ngoma (6), Elie Mpanzu (34), Debora Fernandes (17), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Joshua Mutale (7),
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Aishi Manula (28), Karaboue Chamou (2), Augustine Okejepha (25), Ladaki Chasambi (36), Awesu Awesu (23),Omary Omary (8), Edwin Balua (37), Steven Mukwala (11), Valentino Mashaka (27). Alexander Erasto (42).