Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Big Bullets leo

10 Sep 2022 By simba 453 views

Mshambualiaji Moses Phiri ataongoza mashambulizi katika mchezo wetu ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nyasa Big Bullets utakaopigwa saa 10 jioni Uwanja wa Taifa wa Bingu wa Mutharika nchini Malawi.

Phiri atapata msaada wa karibu kutoka kwa viungo watatu washambuliaji Clatous Chama, Pape Sakho na Kibu Denis.

Mzamiru Yassin atasaidiana na Sadio Kanoute katika idara ya kiungo wa ulinzi huku Henock Inonga na Mohamed Ouattara wakizima nyuma.

Advertisement

Kikosi Kamili kilivyopangwa

Aishi Manula (28), Israel Patrick (5), Mohamed Hussein (15), Henock Inonga (29), Mohamed Ouattara (33), Sadio Kanoute (13), Pape Sakho (10), Mzamiru Yassin (19), Moses Phiri (25), Clatous Chama (17), Kibu Denis (38).

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Erasto Nyoni (18), Kennedy Juma (26), Nelson Okwa (8), Augustine Okrah (27), Habib Kyombo (32), Dejan Georgijevic (7), John Bocco (22), Peter Banda (11)

Back to homepage
Share this story