Katika mchezo wa leo Phiri atapata msaada wa karibu kutoka kwa viungo washambuliaji Clatous Chama, Kibu Denis na Augustine Okrah.
Sadio Kanoute amerejea kikosini na ataongoza safu ya kiungo wa ulinzi pamoja na Mzamiru Yassin.
Kikosi kamili kilivyopangwa
Advertisement
Aishi Manula (28), Israel Patrick (5), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Henock Inonga (29), Sadio Kanoute (13), Kibu Denis (38), Mzamiru Yassin (19), Moses Phiri (25), Clatous Chama (17), Augustine Okrah.
Wachezaji wa Akiba
Beno Kakolanya (30), Erasto Nyoni (18), Mohamed Ouattara (33), Jonas Mkude (20), Pape Sakho (10), Nelson Okwa (8), Dejan Georgijevic (7), John Bocco (22), Peter Banda (11).