Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya B19

7 Mar 2026

Katika kikosi kitakachoanza leo ni wachezaji wanne tu ndio walianza kwenye mchezo uliopita wa Ligi Kuu ya NBC wa Dabi ya Kariakoo.

Nyota hao ni mlinzi wa kati Ismail Toure, kiungo mkabaji, Allasane Kante, winga Libasse Gueye na kiungo mshambuliaji, Inno Jospin Loemba.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Hussein Abel (28), David Kameta (15), Anthony Mligo (5), Vedastus Masinde (4), Ismail Toure (25), Naby Camara (30), Bashiri Kibaila (63), Allasana Kante (8), Inno Loemba (10), Morice Abraham (18),

Advertisement

Libasse Gueye (7),

Wachezaji wa Akiba:

Mamadou Kassali (39), Shomari Kapombe (12), Nickson Kibabage (32),Hussein Mbegu (60), Yusuph Kagoma (21), Clatous Chama (17), Anicet Oura (20). Daud Semfuko (37), Baraka Mwangosi (11), Elie Mpanzu (34).

Back to homepage
Share this story