Kocha Fadlu Davids amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi ya mwisho tuliocheza dhidi ya Al Ahli Tripoli.
Kocha Fadlu amemuanzisha kiungo mkabaji Fabrice Ngoma kuchukua nafasi ya Yusuph Kagoma ambaye ni majeruhi.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Advertisement
Moussa Camara (26), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), Abdulrazack Hamza (14), Fabrice Ngoma (6), Kibu Denis (38), Deborah Fernandes (17), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Joshua Mutale (7).
Wachezaji wa Akiba
Ally Salim (1), Kelvin Kijili (33), Karaboue Chamou (2), Omary Omary (8), Awesu Awesu (23), Augustine Okajepha (25), Steve Mukwala (11), Edwin Balua (37), Valentino Mashaka (27), Hashim Msangi (59)