Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Azam FC

7 Dec 2025

Kocha Seleman Matola amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kikosi kilichoshinda mabao 3-0 dhidi ya Mbeya City siku ya Alhamisi.

Matola amewaanzisha Joshua Mutale na Steven Mukwala wakichukua nafasi za Jean Charles Ahoua na Jonathan Sowah.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Yakoub Suleiman (22), Shomari Kapombe (12), Anthony Mligo (5), Wilson Nangu (31), Karaboue Chamou (2), Yusuph Kagoma (21), Joshua Mutale (7), Allasane Kante (8), Steven Mukwala (11), Morice Abraham (18), Elie Mpanzu (34).

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (28), Duchu (15), Vedastus Masinde (4), Naby Camara (30), Kibu Denis (38), Neo Maema (35), Jonathan Sowah (3), Seleman Mwalimu (40), Jean Charles Ahoua (10), Mohamed Bajaber (17).

Back to homepage
Share this story