Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Al Masry

9 Apr 2025

Kocha Fadlu Davids amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja ukilinganisha na kile kilichoanza mchezo wa mzunguko wa kwanza kule Suez Canal.

Fadlu amemuanzisha mshambuliaji, Steven Mukwala akichukua nafasi ya, Leonel Ateba ambaye yupo benchi.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Karaboue Chamou (2), Abdurazak Hamza (14), Yusuph Kagoma (21), Kibu Denis (38), Fabrice Ngoma (6), Steve Mukwala (11), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).

Wachezaji wa Akiba:

Ally Salim (1), David Kameta (3), Valentine Nouma (29), Edwin Balua (37), Ladaki Chasambi (36), Debora Fernandes (17), Awesu Awesu (23), Leonel Ateba (13), Joshua Mutale (26).

Back to homepage
Share this story