Bocco atapata msaada wa karibu kutoka viungo watatu washambuliaji, Clatous Chama, Saido Ntibazonkiza na Pape Sakho.
Katika eneo la katikati ya uwanja Kocha Roberto Oliviera 'Robertinho' amewapanga Jonas Mkude na Sadio Kanoute kwenye kiungo wa ulinzi.
Kikosi Kamili kilivyopangwa
Advertisement
Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Kennedy Juma (26), Jonas Mkude (20), Pape Sakho (10), Sadio Kanoute (13), John Bocco (22), Said Ntibazonkiza (39), Clatous Chama (17).
Wachezaji wa Akiba
Beno Kakolanya (30), Ally Salim (1), Jimmyson Mwanuke (21), Gadiel Michael (2), Mohamed Ouattara (33), Erasto Nyoni (18), Nassor Kapama (35), Mzamiru Yassin (19), Habibu Kyombo (32), Kibu Denis (38).