Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Al Ahli Tripoli

22 Sep 2024

Kocha Fadlu amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja ukilinganisha na kile kilichoanza mchezo wa mkondo wa kwanza kule Libya.

Kocha Fadlu amemuanzisha kiungo mshambuliaji Kibu Denis ambaye amechukua nafasi ya Edwin Balua aliyopo benchi.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), Abdulrazack Hamza (14), Yusuph Kagoma (21), Kibu Denis (38), Deborah Fernandes (17), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Joshua Mutale (26).

Wachezaji wa Akiba

Ally Salim (1), Kelvin Kijili (33), Valentine Nouma (29), Karaboue Chamou (2), Fabrice Ngoma (6), Awesu Awesu (23), Augustine Okajepha (25), Steve Mukwala (11), Edwin Balua (37).

Back to homepage
Share this story