Kocha Fadlu Davids amefanya mabadiliko ya wachezaji wanne ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi ya mwisho ya Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Pamba Jiji.
Kocha Fadlu amewaanzisha Mohamed Hussein, Abdulrazack Hamza, Augustine Okajepha, Steven Mukwala na Kibu Deni kuchukua nafasi za Valentine Nouma, Karaboue Chamou, Debora Fernandes, Leonel Ateba na Awesu Awesu.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Abdulrazack Hamza (14), Che Malone (20), Fabrice Ngoma (6), Ladaki Chasambi (36), Augustine Okajepha (25), Steven Mukwala (11), Jean Charles Ahoua (10), Kibu Denis (38).
Wachezaji wa Akiba:
Aishi Manula (28), Valentine Nouma (29), Karaboue Chamou (2), Debora Fernandes (17), Mzamiru Yassin (19), Awesu Awesu (23), Joshua Mutale (26), Leonel Ateba(13), Edwin Balua (37)