Kocha Mkuu, Steve Barker amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi iliyopita dhidi ya Coastal Union na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Barker amewaanzisha mlinda mlango Djibrilla Kassali na kiungo mkabaji, Yusuph Kagoma wakichukua nafasi za Hussein Abel na Neo Maema.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Djibrilla Kassali (39), Shomari Kapombe (12), Nickson Kibabage (32), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Libasse Gueye (7), Allasane Kante (8), Seleman Mwalimu (40), Clatous Chama (17), Anicet Oura (20).
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), David Duchu (15), Anthony Mligo (5), Hussein Mbegu (60), Daud Semfuko (37), Vedastus Masinde (4), Neo Maema (35), Bashiri Kibaila (63), Morice Abraham (18), Inno loemba (10).