Kocha Mkuu, Roberto Oliveira 'Robertinho' amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja ukilinganisha na kikosi kilichocheza dhidi ya watani Yanga na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 wiki iliyopita.
Kiungo mkabaji, Sadio Kanoute ambaye hakuonekana katika mechi kadhaa zilizopita amerejea kikosini akichukua nafasi ya Erasto Nyoni.
Kikosi kamili kilivyopangwa.....
Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Sadio Kanoute (13), Clatous Chama (17), Mzamiru Yassin (19), Jean Baleke (4), Saido Ntibazonkiza (39), Kibu Denis (38).
Wachezaji wa Akiba..
Beno Kakolanya (30), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Erasto Nyoni (18), Pape Sakho (10), Nassor Kapama (35), John Bocco (22), Moses Phiri (25), Peter Banda (11).