Simba Sports Club
News

Kikosi kitakacho tuwakilisha dhidi ya Mwembe Makumbi

3 Jan 2026

Mchezo huu ni wa kwanza wa kocha Steve Barker tangu alipochukua mikoba ya Meneja Dimitar Pantev.

Mlinzi wa kati, Rushine De Reuck amerejea kikosini baada ya kuwa nje kwa wiki kadhaa akiuguza majeraha huku kiungo mshambuliaji, Mohamed Bajaber akianza mechi ya kwanza ya kimashindano tangu atue.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Hussein Abel (28), David Kameta (15), Anthony Mligo (5), Karaboue Chamou (2), Rushine De Reuck (23), Daud Semfuko (37), Ladaki Chasambi (36), Naby Camara (30), Baraka Mwangosi (29), Neo Maema (35), Mohamed Bajaber (17).

Wachezaji wa Akiba: Alexander Erasto (42), Hussein Mbegu (60), Vedastus Masinde (4), Amiri Yondani (13), Charles Sila (39), Allasane Kante (8), Mzamiru Yassin (19), Bashiru Kibaila (63), Joshua Mutale (7), Benjamin William (49), Awesu Awesu (33), Bright Anukani (20).

Back to homepage
Share this story