Simba Sports Club
News

Kikosi kinachosafiri kwenda Botswana

15 Oct 2021 By simbasc 1,231 views

Kikosi chetu cha wachezaji 24 kinaondoka leo kuelekea Botswana tayari kwa mchezo wetu wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy.

Mchezo huo wa hatua ya kwanza utapigwa Jumapili saa 10 jioni katika Uwanja wa Taifa wa Botswana.
Kikosi Kamili kitakachosafiri.

Makipa

Advertisement
  1. Ally Salim
  2. Beno Kakolanya
  3. Aishi Salum

Mabeki

  1. Shomari Kapombe
  2. Israel Mwenda
  3. Gadiel Michael
  4. Kennedy Juma
  5. Pascal Wawa
  6. Henock Inonga
  7. Erasto Nyoni
  8. Mohamed Hussein
  9. Joash Onyango

Viungo

  1. Sadio Kanoute
  2. Taddeo Lwanga
  3. Mzamiru Yassin
  4. Rally Bwalya
  5. Hassan Dilunga
  6. Jimmyson Mwanuke
  7. Ibrahim Ajib
  8. Duncan Nyoni
    21.Peter Banda
  9. Bernard Morrison

Washambuliaji

  1. John Bocco
  2. Medie Kagere
Back to homepage
Share this story