Simba Sports Club
News

Kikosi kilichopangwa kuikabili Dodoma Jiji

29 Sep 2024

Kocha Fadlu Davids amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kile kilichocheza mechi iliyopita dhidi ya Azam FC.

Kocha Fadlu amewaanzisha Kelvin Kijili na Steven Mukwala kuchukua nafasi za Shomari Kapombe na Joshua Mutale.

Hiki hapa kilichopangwa:

Advertisement

Moussa Camara (26), Kelvin Kijili (33), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), ⁠Abdulrazak Hamza (14), Fabrice Ngoma (6), ⁠Jean Ahoua (10), Debora Fernandes (17), ⁠Leonel Ateba (13), Steven Mukwala (11), Kibu Denis (38).

Wachezaji wa Akiba:

Aishi Manula (28), ⁠Shomari Kapombe (12), Karaboue Chamou (2), Augustine Okejepha (25), ⁠Awesu Awesu (23), Edwin Balua (37), Valentino Mashaka (27), ⁠Hashim Msangi, Omary Omary, Valentine Nouma (29).

Back to homepage
Share this story