Simba Sports Club
News

Kikosi kilichopangwa kuikabili Coastal Union

11 Aug 2024

Kocha Fadlu amefanya mabadiliko ya wachezaji wanne ukilinganisha na kile kilichoanza kwenye mchezo uliopita wa nusu fainali.

Kocha Fadlu amewaanzisha Kelvin Kijili, Abdulrazack Hamza, Augustine Okajepha na Saleh Karabaka na kuwapumzisha Shomari Kapombe, Karaboue Chamou, Mzamiru Yassin na Edwin Balua.

Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa:

Advertisement

Moussa Camara (26), Kelvin Kijili (33), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), Augustine Okajepha (25), Saleh Karabaka (16), Deborah Fernandes (17), Steven Mukwala (11), Jean Charles Ahoua (10), Joshua Mutale (7).

Wachezaji wa Akiba

Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Valentine Nouma (29), Hussein Kazi (4), Fabrice Ngoma (6), Mzamiru Yassin (19), Yusuph Kagoma (21), Valentino Mashaka (27), Edwin Balua (37), Kibu Denis (38).

Back to homepage
Share this story