Simba Sports Club
News

Kikosi kilichopangwa kuikabili Al-Adalah

29 Jul 2024

Kocha Fadlu Davids amefanya mabadiliko ya kikosi kizima ukilinganisha na kile kilichoanza jana katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Telecom FC.

Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa:

Ally Salim (1), Shomari kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), Karaboue Chamou (2), Fabrice Ngoma (6), Edwin Balua (16), Mzamiru Yassin (19), Steven Mukwala (11)Jean Ahoua (10), Joshua Mutale (7).

Advertisement

Wachezaji wa Akiba

Hussein Abel (30), Augustine Okejepha (25), Valentino Mashaka (27), Awesu Awesu (5), Kelvin Kijili (24), David Kameta (3), Freddy Michael (18).

Back to homepage
Share this story