Leo jioni tutacheza mechi ya pili ya kirafiki dhidi ya Turan tena lengo likiwa ni kumfanya kila mchezaji kupata muda mwingi wa kucheza.
Hiki hapa kikosi kilivyopangwa:
Ally Salim (1), Jimmyson Mwanuke (21), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Hussein Kazi,(16) Nassor Kapama (35), Peter Banda (11), Abdallah Hamis,(13) Shaban Chilunda,(27) Aubin Kramo (24), Moses Phiri (25).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba
Ahmed Feruz (31), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Henock Inonga (29), Che Malone (6), Mzamiru Yassin (19), Kibu Denis (38), Sadio Kanoute (8), Willy Onana (7), Said Ntibazonkiza (39), Jean Baleke (4), Fabrice Ngoma (23)