Kocha Mkuu, Robertinho amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kile kilichoanza dhidi ya Mtibwa Sugar.
Kiungo mkabaji, Mzamiru Yassin ameanza kuchukua nafasi ya Sadio Kanoute na Said Ntibazonkiza akichukua nafasi ya Kibu Denis.
Kikosi kamili kilivyopangwa:
Advertisement
Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Che malone Fondoh (20), Kennedy Juma (26), Fabrice Ngoma (6), Mzamiru Yassin (19), Saidi Ntibazonkiza (10), Jean Baleke (4), Essomba Onana (7), Clatous Chama (17)
Wachezaji wa akiba:
Hussein Abel (30), Israel Mwenda (5), Hussein Kazi (16), Abdallah Hamis (13), Sadio Kanoute (8), Luis Miquissone (11), Denis Kibu (38), John Bocco (22), Moses Phiri (25).