Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amefanya mabadiliko makubwa ya kikosi ili kuwapa nafasi ya kucheza wachezaji wote.
Kikosi kamili kilivyopangwa:
Hussein Abel (30), David Kameta (3), Israel Mwenda (5), Hussein Kazi (16), Kennedy Juma (26), Fabrice Ngoma (6), Jimmyson Mwanuke (21), Sadio Kanoute (8), Shabani Chilunda (27), Said Ntibazonkiza (10), Michael Chalamba (24)
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Ahmed Teru (31), Shomari Kapombe (12), Che Malone (20), Abdallah Hamis (13), Luis Miquissone (11), Moses Phiri (25), John Bocco (27), Jean Baleke (4).