Simba Sports Club
News

Kikosi chawasili salama Tabora

4 Feb 2024

Wachezaji walifanya mazoezi ya utimamu wa mwili asubuhi mkoani Kigoma ili kujiweka sawa baada ya mchezo mgumu wa jana dhidi ya Mashujaa FC.

Kesho saa 10 jioni kikosi kitafanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi tayari kwa mchezo wa Jumanne.

Advertisement
Back to homepage
Share this story