Simba Sports Club
News

Kikosi chawasili salama Mwanza

7 Feb 2024

Kikosi kilifanya mazoezi ya utimamu wa mwili asubuhi mkoani Tabora kabla ya kuanza safari kutokana na kucheza mechi dhidi ya Tabora United jana.

Wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri na kesho watafanya mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa Azam FC Ijumaa.

Viingilio vya mchezo vitakuwa kama ifuatavyo:

Advertisement

Vip A - 20,000

Vip B - 10,000

Mzunguko - 5000

Back to homepage
Share this story