Wachezaji wametoka mapumziko baada ya kumalizika kwa msimu kwahiyo wameanza programu ya mazoezi ya kuweka sawa miili kabla ya kufanya mazoezi ya uwanjani.
Katika mazoezi ya leo wachezaji wote walivaa viatu maalum kwa ajili ya kukimbia ili kurejesha miili sawa na kuifanya kuwa tayari.
Advertisement
Programu za mazoezi itaendelea kwa kipindi chote cha kambi hapa Misri.