Simba Sports Club
News

Kikosi cha U20 kilichopangwa kuikabili Azam FC

26 Jun 2023 By simbasc 198 views
Leo saa 2:45 Usiku kikosi chetu cha vijana chini ya umri wa miaka 20 kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Azam katika mchezo wa mwisho wa Kundi D. Kikosi kamili kilivyopangwa: Jonathan Skazwe (40), Emmanuel Isack (45), William Baraka (57), Emmanuel Gerrard (41), Pasco Miligo (54), Modrick Kabisu (58), Omary Rashid (53), Hassan Mussa (52), Samson Emmanuel (48), Seif Suleiman (36), Shaffih Hassan (51). Wachezaji wa Akiba: Mwarami Mohamed (50), Maulid Juma (49), Abubakar Hamis (53), Abdultwaha Binjo (43), Shaban Rajabu (43), Mohamed Mussa (33), Godfrey Manfred (46), Benjamin Raphael (42), Stanford Nixion (34).
Advertisement
Back to homepage
Share this story