Queens itaingia kwenye mchezo wa leo ikiwa kileleni mwa msimamo baada ya kushinda mechi zote tatu za mwanzo za ligi.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Dotto Evarist (2), Ruth Ingosi (20), Violeth Nicholaus (26), Esther Mayala (23), Asha Djafari (24), Vivian Corazone (17), Jentrix Shikangwa (25), Precious Christopher (8), Elizabeth Wambui (4).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Gelwa Yona (21), Emeliana Mdimu (15), Wincate Kaari (29), Josephine Julius (6), Ritticia Nabbosa (27), Jackline Albert (16), Asha Rashid (14), Mwanahamisi Omari (7), Shelda Boniface (9).