Queens ambao ni mabingwa watetezi inaanza Ligi ikiwa nchini ya Kocha Yussif Basigi ambaye amechukua nafasi ya Juma Mgunda aliyemaliza mkataba wake.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Wincate Kaari (29), Esther Mayala (23), Violeth Nicholaus (26), Vivian Corazone (17), Asha Djafari (24), Ritticia Nabbosa (27). Asha Rashid (14). Precious Christopher (8), Elizabeth Wambui (4).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Gelwa Yonah (21), Dotto Evarist (2), Ruth Ingosi (20), Emeliana Mdimu (15), Josephine Julius (6), Mwanahamisi Omari (7), Jackline Albert (16), Shelda Boniface (9), Jentrix Shikangwa (25).