Mchezo huu ni kiashiria cha kufunguliwa kwa pazia la Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL).
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Zuhura Waziri (38), Zainah Nandede (11), Asha Omary (12), Esther Mayala (23), Ruth Ingosi (20), Zanga Brice (20), Elizabeth Wambui (4), Vivian Corazone (17), Cynthia Shilwatso (27), Jentrix Shikangwa (25), Aisha Juma (10).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba
Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Emeliana Mdimu (15), Zawadi Hamis (36), Zawadi Usanase (18), Shelda Boniface (14), Janeth Nyagali (7), Elizabeth Nashon (6), Elizabeth Joseph (21).