Kocha Juma Mgunda amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili kwenye kikosi cha leo ukilinganisha na kile kilichocheza mechi iliyopita dhidi ya FAD Djibouti.
Mgunda amewaanzisha Asha Djafari na Asha Rashid kuchukua nafasi za Amina Bilal na Ritticia Nabbosa ambao walianza mechi iliyopita.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Advertisement
Caroline Rufa (18), Fatuma Issa (5), Wincate Kaari (12), Ruth Ingosi (20), Violeth Nicholas (26), Vivian Corazone (17), Elizabeth Wambui (4), Precious Christopher (8), Jentrix Shikangwa (25), Asha Rashid (14), Asha Djafari (24).
Wachezaji wa Akiba:
Janeth Shija (1), Dotto Evarist (2), Esther Mayala (23), Daniela Ngoyi (22), Saiki Mary (19), Ritticia Nabbosa (13), Amina Bilali (11), Shelda Boniface (9).